sw_tn/lev/22/24.md

661 B

Usilete mkate wa Mungu wako

"Kate" hapa huwakilisha chakula kwa ujumla. Mungu hakula dhabihu hasa. Makuhani wangetoa dhabihu juu ya madhabahu ya Mungu, na wangekula sehemu ya nyama. : "hataleta mnyama kuwa matoleo ya chakula kwa Mungu wenu"

Kutoka mkononi mwa mgeni

Neno "mkono" huwakilisha mtu mzima. Inaonyeshwa kwamba Waisraeli wasingeweza kutumia wanyama kama dhabihu iwapo wangewanunua kutokwa wageni ambao walihasi wanyama wao wakifanya wasikubalikekwa Mungu. : "ambaye mgeni amewapa , kwa sababu wao huhasi wanyamaa wao"

hawatapokelewa kabisa kwa ajili yako

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Yahweh hatawapokea kutoka kwenu"