sw_tn/lev/22/22.md

332 B

waliojeruhiwa, wala waliotiwa kilema

Maneno haya humaanisha kasoro zilizosababishwa na ajali.

wenye upele, vidonda vitokavyo usaha, wala wenye vigaga

Haya humaanisha aina za magonjwa ya ngozi.

haitapokelewa.

"Yahweh ataikubali"

mlemavu au aliyedumaa

Maneno haya yanamaanisha kasoro ambazo mnyama anazo tangu kuzaliwa