sw_tn/lev/22/22.md

16 lines
332 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# waliojeruhiwa, wala waliotiwa kilema
Maneno haya humaanisha kasoro zilizosababishwa na ajali.
# wenye upele, vidonda vitokavyo usaha, wala wenye vigaga
Haya humaanisha aina za magonjwa ya ngozi.
# haitapokelewa.
"Yahweh ataikubali"
# mlemavu au aliyedumaa
Maneno haya yanamaanisha kasoro ambazo mnyama anazo tangu kuzaliwa