sw_tn/lev/21/22.md

230 B

Anaweza

"Anayeweza" hapa ni yule kuhani aliye na kasoro za kimwili.

Kula chakula cha Mungu wake

"kula matoleo ya chakula ya Mungu wake." sehemu ya dhabihu ilikuwa ya makuhani na ingeweza kuliwa.

Wanawe

"Wana wa Aroni"