# Anaweza "Anayeweza" hapa ni yule kuhani aliye na kasoro za kimwili. # Kula chakula cha Mungu wake "kula matoleo ya chakula ya Mungu wake." sehemu ya dhabihu ilikuwa ya makuhani na ingeweza kuliwa. # Wanawe "Wana wa Aroni"