sw_tn/lev/21/13.md

8 lines
350 B
Markdown

# kutoka mipoongoni mwa watu wake
"kutoka miopngoni mwa kabila lake mwenyewe, kabila la Lawi"
# asiwatia unajisi watoto wake miongoni mwa watu wake
Kwa kuoa mwanake asiyemtkatifu au asiye na hofu ya Mungu, kuhani angeweza kuwa na watoto wasiofaa kuwa makuhani. : "ili kwamba asiwe na watoto wasiostahili kwa njia ya kuoa mwanamke asiyemcha Mungu.