# kutoka mipoongoni mwa watu wake "kutoka miopngoni mwa kabila lake mwenyewe, kabila la Lawi" # asiwatia unajisi watoto wake miongoni mwa watu wake Kwa kuoa mwanake asiyemtkatifu au asiye na hofu ya Mungu, kuhani angeweza kuwa na watoto wasiofaa kuwa makuhani. : "ili kwamba asiwe na watoto wasiostahili kwa njia ya kuoa mwanamke asiyemcha Mungu.