sw_tn/lev/20/08.md

12 lines
352 B
Markdown

# Maelezo kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayao watu kutenda.
# Mtazitunza amari zangu na kuzifuta
Yale maneno "tunza" na "fuata" kimsingi humaanisha kitu kimoja. Yametumika pamoja ili kusisitiza kwamba ni lazima watu wamtii Mungu.
# hakika mtu huyo atauawa
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. :"Yapasa kuua hakika"