sw_tn/lev/20/08.md

352 B

Maelezo kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kumwambia Musa yawapasayao watu kutenda.

Mtazitunza amari zangu na kuzifuta

Yale maneno "tunza" na "fuata" kimsingi humaanisha kitu kimoja. Yametumika pamoja ili kusisitiza kwamba ni lazima watu wamtii Mungu.

hakika mtu huyo atauawa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. :"Yapasa kuua hakika"