sw_tn/lev/20/03.md

24 lines
844 B
Markdown

# Pia nitaukaza uso wangu dhidi ya mtu huyo
KIle kirai "kaza uso wangu dhidi" ni nahau inayomaanisha "kumkata." : "Pia Nitamkataa" au "kumpinga vikali'
# amemtoa mtoto wake
"amemtoa dhabihu mtoto wake"
# ili kupatia unajisi mahali pangu patakatifu na kulinajisi jina langu takatifu
"na kwa kufanya hivyo, ampachafua mahali pangu patakatifu na kulinajisi jina langu takatifu.
# najisi jina langu takatifu
Jina la Mungu humwakilisha Mungu na heshima yake. : "dunisha heshima yangu" au "kiunivunjia heshima mimi"
# watayafumba macho yao kwa
Kile kirai "kufumba macho yao" huashiria "hawawezi kuona" na huwakilisha kutokuwa na uwezo wa kuelewa kwao. : "kutojali" au "puuzia"
# ajifanyaye kahaba ili kufanya umalaya na Molek
Kirai hiki huwafananisha na kahaba wale wasiokuwa waaminifu kwa Yahweh. ; "yeye asiyekuwa mwaminifu kwa Yahweh"