sw_tn/lev/20/03.md

844 B

Pia nitaukaza uso wangu dhidi ya mtu huyo

KIle kirai "kaza uso wangu dhidi" ni nahau inayomaanisha "kumkata." : "Pia Nitamkataa" au "kumpinga vikali'

amemtoa mtoto wake

"amemtoa dhabihu mtoto wake"

ili kupatia unajisi mahali pangu patakatifu na kulinajisi jina langu takatifu

"na kwa kufanya hivyo, ampachafua mahali pangu patakatifu na kulinajisi jina langu takatifu.

najisi jina langu takatifu

Jina la Mungu humwakilisha Mungu na heshima yake. : "dunisha heshima yangu" au "kiunivunjia heshima mimi"

watayafumba macho yao kwa

Kile kirai "kufumba macho yao" huashiria "hawawezi kuona" na huwakilisha kutokuwa na uwezo wa kuelewa kwao. : "kutojali" au "puuzia"

ajifanyaye kahaba ili kufanya umalaya na Molek

Kirai hiki huwafananisha na kahaba wale wasiokuwa waaminifu kwa Yahweh. ; "yeye asiyekuwa mwaminifu kwa Yahweh"