sw_tn/lev/19/33.md

77 lines
3.5 KiB
Markdown

# Mgeni, -a kigeni, mpitaji
Ule msemo "mgeni" humrejelea mtu anayeishi katika taifa lisilo lake mwenyewe. Jina lingine la mgeni ni "mpitaji"
Katika Agano la Kale, musemo huu hasa humlenga yeyote anayetoka katika kikundi cha watu walio tofauti ya watu aliokuwa akiishi miongoni mwao.
Mgeni pia ni mtu ambaye lugha na utamaduni wake ni tofauti na ule wa kwako
Mathalani, Naomi na familia walipohamia Moabu, walikuwa wageni huko. Naomi na binti mkwe wake Ruthu walipohamia baadaye Israeli, Ruthu aliitwa :"mgeni" huko kwa sababu kwa asili hakutokea Israelli.
Mtume Paulo anawaambi Waefeso kwamba kabla hawajamjua Kristo, walikuwa "wageni" kwa Agano la Mungu.
Wakati mwingine "mgeni" hutafriwa kama "mpitaji," lakini, haliwezi kumlenga tu mtu fulani asiyejulikana au asiyefahamika.
# Mpende, penda .
Kumpenda mtu mwingine ni kumjali mtu huyo na kufanya mambo yatakayomnufaisha yeye. Kuna maana mbali mbali za "upendo" ambazo baadhi ya lugha zinaweza kuuelza kwa kutumia maneno tofauti: 1. Upendo unaotoka kwa Mungu wenyewe hulenga juu mema kwa ajili ya wengine, hata kama haujinufashi wenyewe. Iana hii ya upendo hujali wengine, haijalishi wanafanya nini. Mungu mwenyewe ni pendo na ndiye asili ya upendo wa kweli.
. Yesu alionyesha aina hii ya upendo kwa
kujitoa dhabihu uhai wake ili kutokoa sisi
kutoka dhambini na kifoni. Yeye
aliwafundisha pia wanafunzi wake
kuwapenda wengine kwa kujitoa dhabihu.
. Watu wanapowapenda wengine kwa aina hii
ya upendo, huhusisha matendo
yanaoonyesha kwamba mtu mwingine
anafikiri juu ya kitakachosababisha mtu
mwingi kufanikiwa. Upendo wa aina hii hasa
huhusisha kuwasamehe wengine.
. Katika toleo la ULB, neno "upendo"
humaanisha upendo wa kujito dhabihu,
isipokuwa maelezo yanapoashiria kuleta
maana nyingine
2. Neno lingine katika Agano Jipya humaanisha upendo wa ndugu au upendo wa kirafiki au wa mmoja wa wanafamilia.
. Msemo huu hulenga upendo wa
kibinadamu baina ya marafiki au ndugu.
. Linaweza kutumiwa pia katika mazingira
kama vile, "wanapenda kukaa kwenye viti
vya mbele katika karamu." Hii
inamaanisha kwamba "wanapenda sana"
au wanatamani sana kufanya hivyo.
3. Neno "upendo" pia laweza kumaanisha mapenzi baina ya mwanaumme na mwanamke. 4. Katika maelezo ya kitamathali , "Yakobo nimempenda, lakini Esau nimemchukia," ule msemo "nimempenda" humaanisha Mungu kumchagua Yakobo kuwa katika uhusiano naye wa kimaagano. Hili pia laweza kufasiriwa kama "aliyechaguliwa." Ingawaje Esau pia alibarikiwa na Mungu, hakupewa upendeleo wa kuwa katika agano. Ule msemo "nimemchukia" hapa umetumka kitamathali kumaanisha "aliyekataliwa" au "asiyechaguliwa."
MAPENDEKEZO YA UFASIRI
. Isipokuwa imeashiria vinginevyo kwenye
maelezo ya kiufasirineno "upendo katka
kwenye toleo la ULB humaanisha aina ya
upendo wa kujitoa dhabihu ambao
hutoka kwa Mungu
. Baadhi ya lugha zaweza kuwa na neno
maalum kwa upendo usio wa kibinafsi
waenye kujitoa dhabihu alionao Mungu.
Njia za kuufasiri upendo huuzaweza
kuwa pamoja na, "ungalizi wa kujitolea
kwa uaminifu" au "jali kwa bila uchoyo" au
"upendo kutoka kwa Mungu." Hakikisha
kwamba neno linalotumika kufasiri upendo
wa Mungu linawez kujumuisha kutupilia
mbali masilahi ya mtu ili kunufaisha
wengine na kupenda watu bila kujali
wanachofanya
. Wakati mwingine neno "upendo" la
Kiingereza huelezea uangalizi wa ndani
walionao watu kwa ajili ya marafiki na
wanafamilia. Baadhi ya lugha zingeweza
kulifasiri neno au kirai hiki
. Baadhi ya lugha zinaweza kuwa na