sw_tn/lev/19/33.md

3.5 KiB

Mgeni, -a kigeni, mpitaji

Ule msemo "mgeni" humrejelea mtu anayeishi katika taifa lisilo lake mwenyewe. Jina lingine la mgeni ni "mpitaji"

Katika Agano la Kale, musemo huu hasa humlenga yeyote anayetoka katika kikundi cha watu walio tofauti ya watu aliokuwa akiishi miongoni mwao.

Mgeni pia ni mtu ambaye lugha na utamaduni wake ni tofauti na ule wa kwako

Mathalani, Naomi na familia walipohamia Moabu, walikuwa wageni huko. Naomi na binti mkwe wake Ruthu walipohamia baadaye Israeli, Ruthu aliitwa :"mgeni" huko kwa sababu kwa asili hakutokea Israelli.

Mtume Paulo anawaambi Waefeso kwamba kabla hawajamjua Kristo, walikuwa "wageni" kwa Agano la Mungu.

Wakati mwingine "mgeni" hutafriwa kama "mpitaji," lakini, haliwezi kumlenga tu mtu fulani asiyejulikana au asiyefahamika.

Mpende, penda .

Kumpenda mtu mwingine ni kumjali mtu huyo na kufanya mambo yatakayomnufaisha yeye. Kuna maana mbali mbali za "upendo" ambazo baadhi ya lugha zinaweza kuuelza kwa kutumia maneno tofauti: 1. Upendo unaotoka kwa Mungu wenyewe hulenga juu mema kwa ajili ya wengine, hata kama haujinufashi wenyewe. Iana hii ya upendo hujali wengine, haijalishi wanafanya nini. Mungu mwenyewe ni pendo na ndiye asili ya upendo wa kweli.

. Yesu alionyesha aina hii ya upendo kwa kujitoa dhabihu uhai wake ili kutokoa sisi kutoka dhambini na kifoni. Yeye aliwafundisha pia wanafunzi wake kuwapenda wengine kwa kujitoa dhabihu.

. Watu wanapowapenda wengine kwa aina hii ya upendo, huhusisha matendo yanaoonyesha kwamba mtu mwingine anafikiri juu ya kitakachosababisha mtu mwingi kufanikiwa. Upendo wa aina hii hasa huhusisha kuwasamehe wengine.

. Katika toleo la ULB, neno "upendo" humaanisha upendo wa kujito dhabihu, isipokuwa maelezo yanapoashiria kuleta maana nyingine

  1. Neno lingine katika Agano Jipya humaanisha upendo wa ndugu au upendo wa kirafiki au wa mmoja wa wanafamilia.

. Msemo huu hulenga upendo wa kibinadamu baina ya marafiki au ndugu.

. Linaweza kutumiwa pia katika mazingira kama vile, "wanapenda kukaa kwenye viti vya mbele katika karamu." Hii inamaanisha kwamba "wanapenda sana" au wanatamani sana kufanya hivyo.

  1. Neno "upendo" pia laweza kumaanisha mapenzi baina ya mwanaumme na mwanamke. 4. Katika maelezo ya kitamathali , "Yakobo nimempenda, lakini Esau nimemchukia," ule msemo "nimempenda" humaanisha Mungu kumchagua Yakobo kuwa katika uhusiano naye wa kimaagano. Hili pia laweza kufasiriwa kama "aliyechaguliwa." Ingawaje Esau pia alibarikiwa na Mungu, hakupewa upendeleo wa kuwa katika agano. Ule msemo "nimemchukia" hapa umetumka kitamathali kumaanisha "aliyekataliwa" au "asiyechaguliwa."

MAPENDEKEZO YA UFASIRI . Isipokuwa imeashiria vinginevyo kwenye maelezo ya kiufasirineno "upendo katka kwenye toleo la ULB humaanisha aina ya upendo wa kujitoa dhabihu ambao hutoka kwa Mungu

. Baadhi ya lugha zaweza kuwa na neno maalum kwa upendo usio wa kibinafsi waenye kujitoa dhabihu alionao Mungu. Njia za kuufasiri upendo huuzaweza kuwa pamoja na, "ungalizi wa kujitolea kwa uaminifu" au "jali kwa bila uchoyo" au "upendo kutoka kwa Mungu." Hakikisha kwamba neno linalotumika kufasiri upendo wa Mungu linawez kujumuisha kutupilia mbali masilahi ya mtu ili kunufaisha wengine na kupenda watu bila kujali wanachofanya

. Wakati mwingine neno "upendo" la Kiingereza huelezea uangalizi wa ndani walionao watu kwa ajili ya marafiki na wanafamilia. Baadhi ya lugha zingeweza kulifasiri neno au kirai hiki

. Baadhi ya lugha zinaweza kuwa na