forked from WA-Catalog/sw_tn
4 lines
369 B
Markdown
4 lines
369 B
Markdown
# Usimwaibishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo taifa litaangukia kwenye ukahaba na nchi itajawa na uovu
|
|
|
|
Yale maneno "taifa" na "nchi" huwakilisha watu wakaao humo. Watu wengi wanaotenda ukahaba na wale wengine wanaotenda matendo ya uovu wamezungumziwa kana kwamba wameangukia au wamejawa na mambo hayo. : "Watu wataanza kufanya ukahaba na mambo mengi maovu"
|