sw_tn/lev/19/29.md

369 B

Usimwaibishe binti yako kwa kumfanya kahaba, la sivyo taifa litaangukia kwenye ukahaba na nchi itajawa na uovu

Yale maneno "taifa" na "nchi" huwakilisha watu wakaao humo. Watu wengi wanaotenda ukahaba na wale wengine wanaotenda matendo ya uovu wamezungumziwa kana kwamba wameangukia au wamejawa na mambo hayo. : "Watu wataanza kufanya ukahaba na mambo mengi maovu"