forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
357 B
Markdown
8 lines
357 B
Markdown
# Usimgandamize jirani yako wala kumwibia
|
|
|
|
"Jirani" hapa humaanisha "yeyote"Maana ya hili yaweza kuwekwa wazi. : "usimuumize wala kumwibia yeyote"
|
|
|
|
# Usishikilie malipo ya kibarua usiku kucha hata asubuhi
|
|
|
|
Yahweh anamwamru mwajiri kumlipa kwa haraka mtumshi wake mara kazi yake inapokamilika siku hiyo hiyo. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi.
|