sw_tn/lev/19/13.md

357 B

Usimgandamize jirani yako wala kumwibia

"Jirani" hapa humaanisha "yeyote"Maana ya hili yaweza kuwekwa wazi. : "usimuumize wala kumwibia yeyote"

Usishikilie malipo ya kibarua usiku kucha hata asubuhi

Yahweh anamwamru mwajiri kumlipa kwa haraka mtumshi wake mara kazi yake inapokamilika siku hiyo hiyo. Maana kamili ya tamko hili yaweza kufanywa wazi.