forked from WA-Catalog/sw_tn
21 lines
979 B
Markdown
21 lines
979 B
Markdown
# uovu, ufisadi, upotovu
|
|
|
|
Ile misemo "uovu" na "ufisadi" yote mawili humaanisha jambo lolote linalopingana na tabia na mapenzi matakatifu ya Mungu.
|
|
|
|
Neno "uovu" linapoweza kuelezea tabia ya mtu, neno, ufisadi linaweza kuhusiana na tabia tabia ya mtu, Hata hivyo, misemo yote miwili hufanana katika maana.
|
|
|
|
Ule msemo" upotovu" humaanisha ile hali ya kuwawepo watu wafanyapo mambo maovu.
|
|
|
|
Yale matokeo ya uovu huonyeshwa wazi katika namna watu wanavyotendea vibaya wengine kwa kuua, kuiba, kulahgai, au kuwa wakatili na kutokuwa na huruma.
|
|
|
|
MAPENDEKEZO YA UFASIRI
|
|
Kwa kutegemea namuktatha, ile msemo "ovu" na "fisadi" yaweza kufairiwa "baya" au"-enye dhambi" au "-siyo adilifu."
|
|
|
|
Njia nyingine za kufasiri haya zaweza kujumuisha, "siyo -ema, "isiyo nyofu" au "isiyo adilifu."
|
|
|
|
Hakikisha kwamba yale maneno au virai vinavyotumika kufasiri misemo hii ni vyenye kufaa kwenye muktadha vilivyo vya asili katika lugha lengwa.
|
|
|
|
# uhai, ishi, maisha, -wa hai
|
|
|
|
Tazama maelezo ya sura 18:3
|