sw_tn/lev/18/17.md

979 B

uovu, ufisadi, upotovu

Ile misemo "uovu" na "ufisadi" yote mawili humaanisha jambo lolote linalopingana na tabia na mapenzi matakatifu ya Mungu.

Neno "uovu" linapoweza kuelezea tabia ya mtu, neno, ufisadi linaweza kuhusiana na tabia tabia ya mtu, Hata hivyo, misemo yote miwili hufanana katika maana.

Ule msemo" upotovu" humaanisha ile hali ya kuwawepo watu wafanyapo mambo maovu.

Yale matokeo ya uovu huonyeshwa wazi katika namna watu wanavyotendea vibaya wengine kwa kuua, kuiba, kulahgai, au kuwa wakatili na kutokuwa na huruma.

MAPENDEKEZO YA UFASIRI Kwa kutegemea namuktatha, ile msemo "ovu" na "fisadi" yaweza kufairiwa "baya" au"-enye dhambi" au "-siyo adilifu."

Njia nyingine za kufasiri haya zaweza kujumuisha, "siyo -ema, "isiyo nyofu" au "isiyo adilifu."

Hakikisha kwamba yale maneno au virai vinavyotumika kufasiri misemo hii ni vyenye kufaa kwenye muktadha vilivyo vya asili katika lugha lengwa.

uhai, ishi, maisha, -wa hai

Tazama maelezo ya sura 18:3