forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
737 B
Markdown
12 lines
737 B
Markdown
# Nitaukaza uso wangu dhidi ya mtu huyo
|
|
|
|
Neno "uso" huwakilisha nafsi. Nahu hii humaanisha kumkataa mtu au kitu fulani. : "Nitakuwa nyume na mtu huyo" au "nitamkataa mtu huyo" au "Nitamkataa huyu mtu"
|
|
|
|
# kumkatilia mbali atoke miongoni mwa watu wake
|
|
|
|
Mtu aliyeondolewa kwenye jamii yake anazungumziwa kana kwamba amekatwa kwa watu wake, kama mtu akatavyo tawi kutoka kwenye mti. : "Sitamruhusu mtu huyu aendelee kuishi miongoni mwa watu wake tena"au "Nitamtenga mtu huyo kutoka kwa watu wake"
|
|
|
|
# Kwa kuwa uhai wa mnyama yeyote umo katika damu yake...ipatanishayo kwa ajili ya uhai
|
|
|
|
Hii humaanisha MUngu huitumia damu kupatanisha kwa ajili ya dhambi za watu kwa sababu damu ni uhai. Watu wasinywe damu kwa sanbabu ina kusudi hili maalum.
|