sw_tn/lev/17/07.md

8 lines
371 B
Markdown

# ambazo kwazo hutenda kama makahaba
Watu ambao wamekuwa siyo waaminifu kwa Yahweh kwa kuabudu miungu ya uongo wamezungumziwa kana kwamba walikuwa akitenda kama mwanaume anayemsaliti mkewe kwa kufanya uzinzi. : "ambayo kwa ajili yake siyo waaminifu kwa Yahweh"
# Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yao katika vizazi vya watu wao vyote
Tazama maelezo ya sura 3:15