# ambazo kwazo hutenda kama makahaba Watu ambao wamekuwa siyo waaminifu kwa Yahweh kwa kuabudu miungu ya uongo wamezungumziwa kana kwamba walikuwa akitenda kama mwanaume anayemsaliti mkewe kwa kufanya uzinzi. : "ambayo kwa ajili yake siyo waaminifu kwa Yahweh" # Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yao katika vizazi vya watu wao vyote Tazama maelezo ya sura 3:15