sw_tn/lev/16/20.md

454 B

lazima atamleata huyo mbuzi aliyehai

Mbuzi hyu anaitwa wa azazeli katika 16:8

kukiri juu yak

"kukiri juu ya mbuzi"

ataweka hizo dhambi juu ya kichwa cha huyo mbuzi

Hapa matendoya Aroni yalikuwa ishara ya uhamisho wa dhambi za watu kwenda kwa mbuzi kama ishara kwamba huyo mbuzi angebeba adhabu kwa ajili ya hatia yao.

maovu...uasi...dhambi

Haya yote kimsingi yanamaanisha jambo moja. Aroni anaungama kila aina ya dhambi watu waliyoitenda.