sw_tn/lev/16/20.md

16 lines
454 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# lazima atamleata huyo mbuzi aliyehai
Mbuzi hyu anaitwa wa azazeli katika 16:8
# kukiri juu yak
"kukiri juu ya mbuzi"
# ataweka hizo dhambi juu ya kichwa cha huyo mbuzi
Hapa matendoya Aroni yalikuwa ishara ya uhamisho wa dhambi za watu kwenda kwa mbuzi kama ishara kwamba huyo mbuzi angebeba adhabu kwa ajili ya hatia yao.
# maovu...uasi...dhambi
Haya yote kimsingi yanamaanisha jambo moja. Aroni anaungama kila aina ya dhambi watu waliyoitenda.