sw_tn/lev/16/17.md

24 lines
602 B
Markdown

# Yapasa atoke kwenda nje na kwenda kwenye madhabahu hapo mbele za Yahweh
Hii ni madhabahu ya dhabihu iliyo ndani ya uwanda wa hema
# kufanya upatanisho kwa ajili ya hiyo
Kama lilivyo eneo la hema la kukutania, madhabahu nayo ni najisi kwa sababu ya dhambi za watu.
# pembe za madhabahu
Tazama maelzo ya sura 4:6
# ili kuitakasa
Tazama maelezo ya sura 13:23
# kuitenga kwa ajili ya Yahweh, mbali na matendo ya unajisi ya watu wa Israeli.
Madhabahu kuwa imetengwa kwa imezungumziwa kana kwamba ilikuwa imetengwa na dhambi za watu kimaumbile
# matendo ya unajisi
Tazama maelezo ya sura 13:20