sw_tn/lev/16/17.md

602 B

Yapasa atoke kwenda nje na kwenda kwenye madhabahu hapo mbele za Yahweh

Hii ni madhabahu ya dhabihu iliyo ndani ya uwanda wa hema

kufanya upatanisho kwa ajili ya hiyo

Kama lilivyo eneo la hema la kukutania, madhabahu nayo ni najisi kwa sababu ya dhambi za watu.

pembe za madhabahu

Tazama maelzo ya sura 4:6

ili kuitakasa

Tazama maelezo ya sura 13:23

kuitenga kwa ajili ya Yahweh, mbali na matendo ya unajisi ya watu wa Israeli.

Madhabahu kuwa imetengwa kwa imezungumziwa kana kwamba ilikuwa imetengwa na dhambi za watu kimaumbile

matendo ya unajisi

Tazama maelezo ya sura 13:20