sw_tn/lev/16/12.md

8 lines
188 B
Markdown

# chetezo
chombo kilichokuwa ajili ya moto na ubani, kilitumiwa na makuhani.
# ubani...wenye harufu ya kupendeza
"ubani ulinukia vizuri." Hii ilimaanisha harufu na siyo ladha ya ubani.