# chetezo chombo kilichokuwa ajili ya moto na ubani, kilitumiwa na makuhani. # ubani...wenye harufu ya kupendeza "ubani ulinukia vizuri." Hii ilimaanisha harufu na siyo ladha ya ubani.