sw_tn/lev/15/28.md

424 B

Lakini yeye

Neno "yeye" humaanisha mwanamke aliyedamuni"

ametakaswa kutoka kwenye kutokwa na damu kwake

kwa maelezo ta awali tazama 13:23. Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. "aponapo kutoka kwenye kutirirkwa kwake kwa damu"

atakuwa safi

Tazama maelezo ya sura 13:23

atajitwalia

"atachuku kwa ajili yake mwenyewe"

unajisi wa wake wa kutokwa na damu

"mtirirko wake wa damu umfanyao yeye najis"i