sw_tn/lev/15/28.md

20 lines
424 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Lakini yeye
Neno "yeye" humaanisha mwanamke aliyedamuni"
# ametakaswa kutoka kwenye kutokwa na damu kwake
kwa maelezo ta awali tazama 13:23. Hii yaweza kutamkwa katika mtindo wa utendaji. "aponapo kutoka kwenye kutirirkwa kwake kwa damu"
# atakuwa safi
Tazama maelezo ya sura 13:23
# atajitwalia
"atachuku kwa ajili yake mwenyewe"
# unajisi wa wake wa kutokwa na damu
"mtirirko wake wa damu umfanyao yeye najis"i