sw_tn/lev/14/33.md

12 lines
208 B
Markdown

# Mtakapoingia
"mtakapoingia" hapa inamaanisha watu wa sraeli.
# ukungu
Tazama maelezo ya sura 13:42
# katika nchi ya milki yenu
Neno "milki" laweza kufasiriwa kama kitenzi. : "katika nchi mnayoimiliki"