# Mtakapoingia "mtakapoingia" hapa inamaanisha watu wa sraeli. # ukungu Tazama maelezo ya sura 13:42 # katika nchi ya milki yenu Neno "milki" laweza kufasiriwa kama kitenzi. : "katika nchi mnayoimiliki"