sw_tn/lev/14/14.md

306 B

mtu wa kutakaswa

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu anayemtakasa"

Logi

Logi moja ni sawasawa na lita 0.31

kunyunyiza sehemu ya mafuta...mbele za Yahweh.

"kunyunyizia sehemu ya mafuta... mbele za Yahweh" hakuna kiashiria cha kile ambacho kuhani alinyinyizia mafuta juu yake.