# mtu wa kutakaswa Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu anayemtakasa" # Logi Logi moja ni sawasawa na lita 0.31 # kunyunyiza sehemu ya mafuta...mbele za Yahweh. "kunyunyizia sehemu ya mafuta... mbele za Yahweh" hakuna kiashiria cha kile ambacho kuhani alinyinyizia mafuta juu yake.