sw_tn/lev/14/10.md

243 B

itambidi kuchukua

Hapa anayepaswa kuchukua ni yule aliyetakaswa.

efa

Efa moja ni sawasawa na lita 22.

logi

Logi moja ni sawasawa na lita 0.31

yeye atakaswaye

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu anayemtakasa"