# itambidi kuchukua Hapa anayepaswa kuchukua ni yule aliyetakaswa. # efa Efa moja ni sawasawa na lita 22. # logi Logi moja ni sawasawa na lita 0.31 # yeye atakaswaye Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mtu anayemtakasa"