sw_tn/lev/13/38.md

20 lines
283 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi.
# meupe kwa kufifia
kovu jeupe
# Kovu
Tazama maelezo ya 13:5
# Yeye yu safi.
"Mtu huyo yu safi"
# Yeye yu safi.
Tazama maelezo ya sura 13:23