# Taarifa kwa Ujumla Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni kile ambacho watu inawapasa kufanya mtu anapokuwa na ugojwa wa ngozi. # meupe kwa kufifia kovu jeupe # Kovu Tazama maelezo ya 13:5 # Yeye yu safi. "Mtu huyo yu safi" # Yeye yu safi. Tazama maelezo ya sura 13:23