sw_tn/lev/13/09.md

724 B

huyo yapasa aletwe kwa kuhani

Kuhani aliamua iwapo ugonjwa ulikuwa umesambaa. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mmoja nanweza kumleta kwa kuhani" au "anapaswa kumwendea kuhani"

endapo...kumekuwa na nyama mbichi kwenye uvimbe.

"Nyama mbichi" hapa inaweza kumaanisha vidonda vilivyowazi juu ya ngozi au yaweza kumaanisha ngozi mpya imemea, lakini eneeo kukizunguka badao inaugonjwa. ama mojawapo inanyesha kwamba ugonjwa wa ngozi yenye hauponi sawasawa.

ugonjwa sugu wa ngozi

Huu ni ugonjwa ambao au unapona kwa muda wakati mrefu.

naye kuhani atamtangaza kuwa najisi...yeye tayari ni najisi

Yule Mungu ambaye watu wengine hawapasi kumgusa anazungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.