sw_tn/lev/13/09.md

16 lines
724 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# huyo yapasa aletwe kwa kuhani
Kuhani aliamua iwapo ugonjwa ulikuwa umesambaa. Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "mmoja nanweza kumleta kwa kuhani" au "anapaswa kumwendea kuhani"
# endapo...kumekuwa na nyama mbichi kwenye uvimbe.
"Nyama mbichi" hapa inaweza kumaanisha vidonda vilivyowazi juu ya ngozi au yaweza kumaanisha ngozi mpya imemea, lakini eneeo kukizunguka badao inaugonjwa. ama mojawapo inanyesha kwamba ugonjwa wa ngozi yenye hauponi sawasawa.
# ugonjwa sugu wa ngozi
Huu ni ugonjwa ambao au unapona kwa muda wakati mrefu.
# naye kuhani atamtangaza kuwa najisi...yeye tayari ni najisi
Yule Mungu ambaye watu wengine hawapasi kumgusa anazungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.