sw_tn/lev/13/03.md

484 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni juu ya kile watu wafanye.

ngozi ya mwili wake

"Wake" hapa humrejelea mtu mwenye ugonjwa wa ngozi.

ugonjwa wa kuambukiza

ugonjwa ambao unaweza kuenea kwa urahisi kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine.

atamtangaza kuwa ni najisi

"ni lazima kuhani amtangaze najisi mtu huyo." Mtule yule ambaye watu wengine hawapaswi kungusa amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.

kwa siku saba.

"kwa siku 7"