sw_tn/lev/13/03.md

20 lines
484 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwaambia Musa na Aroni juu ya kile watu wafanye.
# ngozi ya mwili wake
"Wake" hapa humrejelea mtu mwenye ugonjwa wa ngozi.
# ugonjwa wa kuambukiza
ugonjwa ambao unaweza kuenea kwa urahisi kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine.
# atamtangaza kuwa ni najisi
"ni lazima kuhani amtangaze najisi mtu huyo." Mtule yule ambaye watu wengine hawapaswi kungusa amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.
# kwa siku saba.
"kwa siku 7"