sw_tn/lev/12/04.md

567 B

utakaso wa mama wa kutokwa damu yake utaendelea kwa muda wa siku thelathini na tatu

Siku tatu - Hii humaanisha kwmba mama atabakia najisi kwa siku sitini na tatu.

muda wa thelathini na tatu

siku tatu - "siku 33"

naye atakuwa najisi kwa muda wa majuma mawili

Mwanamke ambaye watu wengiine haiwapasi kumgusa kwa sababu anatokwa damu kutokana na mimba yake amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.

kwa mud wa majuma mawili

"kwa siku 14"

wakati wa kipindi chake

Tazama maelezo ya sura ya 12:1

siku sitini na sita

siku sita - "siku 66"