# utakaso wa mama wa kutokwa damu yake utaendelea kwa muda wa siku thelathini na tatu Siku tatu - Hii humaanisha kwmba mama atabakia najisi kwa siku sitini na tatu. # muda wa thelathini na tatu siku tatu - "siku 33" # naye atakuwa najisi kwa muda wa majuma mawili Mwanamke ambaye watu wengiine haiwapasi kumgusa kwa sababu anatokwa damu kutokana na mimba yake amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile. # kwa mud wa majuma mawili "kwa siku 14" # wakati wa kipindi chake Tazama maelezo ya sura ya 12:1 # siku sitini na sita siku sita - "siku 66"