sw_tn/lev/11/36.md

1.2 KiB

Taariifa kwa Ujumla

Yahweh anaendele kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu waahesabu najisi

Chemchemi au kisima...patabaki kuwa safi

Maji yale ambayo watu wameruhusiwa kunywa kutoka chemchemi au kisima yanapokusanyika pamezungumziwa kana kwamba palikuwa safi kimaumbile.

kisima cha maji ya kunywa yanapokusanyika

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Kisima kinachokusanya maji ya kunywa"

mzoga wa mnyama aliye najisi

maiti ya mnyama ambaye Mungu amamtaja kuwa hafai kwa watu kumgusa au kumla amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile

yeye atakuwa najisi

Yule mtu asiyekubalika kwa kusudi la Mungu kwa sababu kagusa mzogo wa mmojawapo wa wanyama amazungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.

mbegu...kwa ajili ya kupanda

"mbugu ambazo mnatarajia kupanda"

Mbegu hizo zitakuwa bado zingali safi...zitakuwa najisi

Mbegu ambazo Mungu amezitaja kuwa zimekubalika kwa watu kupanda zimezungumziwa kana kwamba zilikuwa safi kimaumbile na zile ambazo hazikubaki zimezungumziwa kana kwamba zilikuwa chafu

Lakini kama maji yanawekwa juu ya mbegu

Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. "Lakini kama mtaweka juu ya mbengu"