sw_tn/lev/11/36.md

32 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taariifa kwa Ujumla
Yahweh anaendele kuwaambia Musa na Aroni ni wanyama gani ambao watu waahesabu najisi
# Chemchemi au kisima...patabaki kuwa safi
Maji yale ambayo watu wameruhusiwa kunywa kutoka chemchemi au kisima yanapokusanyika pamezungumziwa kana kwamba palikuwa safi kimaumbile.
# kisima cha maji ya kunywa yanapokusanyika
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. : "Kisima kinachokusanya maji ya kunywa"
# mzoga wa mnyama aliye najisi
maiti ya mnyama ambaye Mungu amamtaja kuwa hafai kwa watu kumgusa au kumla amezungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile
# yeye atakuwa najisi
Yule mtu asiyekubalika kwa kusudi la Mungu kwa sababu kagusa mzogo wa mmojawapo wa wanyama amazungumziwa kana kwamba alikuwa mchafu kimaumbile.
# mbegu...kwa ajili ya kupanda
"mbugu ambazo mnatarajia kupanda"
# Mbegu hizo zitakuwa bado zingali safi...zitakuwa najisi
Mbegu ambazo Mungu amezitaja kuwa zimekubalika kwa watu kupanda zimezungumziwa kana kwamba zilikuwa safi kimaumbile na zile ambazo hazikubaki zimezungumziwa kana kwamba zilikuwa chafu
# Lakini kama maji yanawekwa juu ya mbegu
Hii yaweza kufasiriwa katika mtindo wa utendaji. "Lakini kama mtaweka juu ya mbengu"