forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
750 B
Markdown
20 lines
750 B
Markdown
# Taarifa kwa Ujumla
|
|
|
|
Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula
|
|
|
|
# Wadudu wote wenye mabawa wanaotembea kwa miguu minne ni machukizo kwenu
|
|
|
|
Neno hili "chukuzo" laweza kufasiriwa na kirai che kitenzi. : "Mtawachukia wadudu wote wenye mabawa wanaotembeao kwa miguu yao miine"
|
|
|
|
# Wadudu watembeao kwa miguu minne
|
|
|
|
Kirai "miguu miine" hapa ni nahau inayomaanisha kutambaa juu ya ardhi na huwatenga wadudu hawa na vitu vingine virukavyo, kama vile ndege, ambao wana miguu miwili tu. : "wadudu wataambao juu ya ardhi"
|
|
|
|
# nzige, senene, parare, au panzi.
|
|
|
|
Hawa ni wadudu wadogo ambao hula mimea na wanaweza kurukaruka.
|
|
|
|
# wadudu warukao wenye miguu minne
|
|
|
|
"wadudu warukao walio na miguu miine"
|