sw_tn/lev/11/20.md

750 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula

Wadudu wote wenye mabawa wanaotembea kwa miguu minne ni machukizo kwenu

Neno hili "chukuzo" laweza kufasiriwa na kirai che kitenzi. : "Mtawachukia wadudu wote wenye mabawa wanaotembeao kwa miguu yao miine"

Wadudu watembeao kwa miguu minne

Kirai "miguu miine" hapa ni nahau inayomaanisha kutambaa juu ya ardhi na huwatenga wadudu hawa na vitu vingine virukavyo, kama vile ndege, ambao wana miguu miwili tu. : "wadudu wataambao juu ya ardhi"

nzige, senene, parare, au panzi.

Hawa ni wadudu wadogo ambao hula mimea na wanaweza kurukaruka.

wadudu warukao wenye miguu minne

"wadudu warukao walio na miguu miine"