sw_tn/lev/11/17.md

20 lines
571 B
Markdown

# Taarifa kwa Ujumla
Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula
# bundi mdogo...bundi mkubwa...chukizo, mnandi, bundi mweupe na mwari, korongo...ina zote za koikoi, huduhudi...popo
Hawa ndege walao panya na wadudu na aghalabu hukaa macho usiku
# bundi mkuu
""bundi mkubwa"
# Koikoi...huduhudi
Hawa ni ndege walao panya na mijusi.
# popo
Ingawaje popo si ndege, kwenye orodh hii popo ni najisi kwa sababu ana mabawa na huruka. ana mwili wa manyoya na hasa hukaa macho usiku. Yeye hula wadudu na panya