sw_tn/lev/11/17.md

571 B

Taarifa kwa Ujumla

Yahweh anaendelea kuwambia Musa na Aruni kile anachowaruhusu watu kula na kile ambacho anawakataza kula

bundi mdogo...bundi mkubwa...chukizo, mnandi, bundi mweupe na mwari, korongo...ina zote za koikoi, huduhudi...popo

Hawa ndege walao panya na wadudu na aghalabu hukaa macho usiku

bundi mkuu

""bundi mkubwa"

Koikoi...huduhudi

Hawa ni ndege walao panya na mijusi.

popo

Ingawaje popo si ndege, kwenye orodh hii popo ni najisi kwa sababu ana mabawa na huruka. ana mwili wa manyoya na hasa hukaa macho usiku. Yeye hula wadudu na panya